SuperMusic.sk

Idan Raichel - Maisha

Pekeyake na kusikia kwa mwezi Yatima alilia ndani kivuli Pekeyake na kusikia kwa mwezi Maisha anasali kuopolewa Amezungukazunguka mbali sana Sasa hajui barabara ya kwake Dunia inajua hadithi yake Lakini nani ajua jina lake Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Urudi ili aweza kulala Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Naomba kwa Maisha Urudi kwa Maisha

💬 Komentáre

Komentáre budú implementované v ďalšej verzii.